Rais Paul Biya wa Cameroon ameshinda muhula wa nane madarakani katika uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 12 kwa kujipatia asilimia 53.66 ya kura. Hii ikiwa ni kulingana na matokeo rasmi ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna mbadala wa amani na amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuilinda na kuikuza amani.
Afisa mwandamizi wa Ikulu ya Urusi amekiri kwamba mazungumzo na Marekani ya kujadili suluhu nchini Ukraine yameshindwa kupunguza tofauti. Lakini alisisitiza kuwa Urusi haijakataa mpango wa amani wa ...
Kulingana na Wakfu huo, Tanzania kwa sasa haina serikali halali, ukisisitiza kuwa mazungumzo ya kweli na yanayojumuisha pande zote ndio njia pekee inayoweza kuliepusha taifa hilo kutumbukia katika ...
Link to Best New Movies of 2025, Ranked by Tomatometer All Bill Skarsgård Movies and TV Ranked by Tomatometer Link to All Bill Skarsgård Movies and TV Ranked by Tomatometer 2026 Critics Choice Awards: ...
Chama cha Kikristo cha Nigeria kilisema wanafunzi 303 na walimu 12 walichukuliwa kutoka Shule ya St Mary's huko Papiri, jimbo la Niger - zaidi ya ilivyokadiriwa hapo awali. Na Asha Juma Chanzo cha ...
Dubu ameuawa baada ya kuingia katika jengo la kibiashara katika mkoa wa kaskazini mashariki mwa Japani wa Akita Novemba 16. Polisi wanasema hakuna aliyejeruhiwa. Polisi walipokea ripoti majira ya saa ...
Kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas jana lilikabidhi mabaki ya mateka mwingine wa Israel wakati likizidi kukabiliwa na shinikizo la kurejesha mabaki ya miili yote iliyosalia. Kundi la ...
Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imetangaza siku ya Alhamisi, Oktoba 16, kwamba hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa au kuthibitishwa kwa siku 20 katika kanda ya afya ya ...
Organ donation saves lives and enjoys widespread public support. But many people are unsure what they agree to when they sign up. Credit...Alyssa Schukar for The New York Times Supported by By Trinity ...
Ingawa mashambulio ya Israeli huko Syria yanaweza kuonekana kuwa onyesho la nguvu, ni zaidi ya kunyoosha misuli Na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Balozi wa Marekani nchini ...